Sunday, November 20, 2016

Mourinho wenger uso kwa uso old traford,kwa mara ya kwanza wapeana mikono tangu waingie kwenye uadui

screen-shot-2016-11-19-at-5-27-58-pm
Kila mtu anajua kwamba Wenger na Mourinho hawapatani kwa muda mrefu sana kutokana na maneno waliyokua wanatupiana. Lakini kabla ya mechi ni kitendo cha kiungwana kupeana mikono kwa managers, Na zimepita mechi kadhaa wawili hao hawakupeana mikono kutokana na tofauti zao walizonazo.
mchezo wa manchester united dhidi ya Arsenal uliopigwa jana kwenye dimba la old traford jijini manchester, Uliowakutanisha tena mahasimu hao wawili na kupeana mikono bila kuangaliana usoni.

Sunday, October 30, 2016

RONALDO AKANA KUWA NA UADUI NA LIONEL MESSI


Cristiano Ronaldo amepiga chini dhana ya uadui uliyopo baina yake na Lionel Messi na kusisitiza kuwa wawili hao wanaheshimiana, licha kuwa hawana urafiki wa aina yoyote

MOJA KATI YA BEEF KUBWA LILILOKUWEPO KWENYE MUZIKI WA AFRIKA LIMEKWISHA, CASSPER NYOVEST NA AKA SASA AMANI IPO

Bifu hiyo imeisha baada ya AKA kwenda kumpongeza hasimu wake Cassper kwenye show yake ya kihistoria Jumamosi, iliyomshuhudia akiweka historia kubwa ya kuwa msanii wa kwanza wa hip hop kutoka nchini humo kuujaza uwanja wa mpira wa Orlando jijini Johannesburg

Friday, October 21, 2016

JOHANNESBURG YAFANA AFRIKA NZIMA YAHAMIA PALE KUSHUHUDIA TUZO ZA MTV (MTV AFRICA MUSIC AWARDS).

14564865_350361321967099_6036778535429865472_n
Ni tuzo kubwa na zinazosherehekewa zaidi kuliko zote barani Afrika. Ni tuzo zenye heshima zaidi na maandalizi yake hujumuisha mbwembwe za kila aina.

KANYE WEST AMTOLEA MAPOVU JAY Z JUKWAANI.

beyonce-featuring-jay-z-kanye-west-drunk-in-love-remix
Nilikuwa nategemea kuna siku kama hii itafika, Tangu Jay Z na Beyonce watose kuhudhuria harusi ya Kanye West na Kim Kardashian miaka miwili iliyopita, urafiki wa Yeezy na Hov uliingia matatani,

BIFU LA LUIS SUAREZ NA PATRICE EVRA LIMEISHA.


skysports-patrice-evra-luis-suarez-liverpool-manchester-united_3813161
Baada ya kudumu kwa zaidi ya miaka minne, bifu la Patrice Evra na Luis Suarez sasa limefika tamati. Evra amempongeza Suarez baada ya kukabidhiwa kiatu cha dhahabu (European Golden Shoe) kwa kuibuka mfungaji bora barani Ulaya msimu wa mwaka 2015/2016
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Evra ameandika, “ kuna neno upendo tu na hakuna neno chuki !!! Luis, wewe ni mchezaji mkubwa na bora sana, wewe ni namba tisa bora, hongera sana Luis @ luissuarez9. Naupenda sana huu mchezo !!! hahahaah.”

ORODHA MPYA YA FIFA YA TIMU BORA ZAIDI DUNIANI.


fifa

Shirikisho la soka duniani (FIFA) imetoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka duniani, bado vinara wamesalia kuwa Argentina