Sunday, November 20, 2016

Mourinho wenger uso kwa uso old traford,kwa mara ya kwanza wapeana mikono tangu waingie kwenye uadui

screen-shot-2016-11-19-at-5-27-58-pm
Kila mtu anajua kwamba Wenger na Mourinho hawapatani kwa muda mrefu sana kutokana na maneno waliyokua wanatupiana. Lakini kabla ya mechi ni kitendo cha kiungwana kupeana mikono kwa managers, Na zimepita mechi kadhaa wawili hao hawakupeana mikono kutokana na tofauti zao walizonazo.
mchezo wa manchester united dhidi ya Arsenal uliopigwa jana kwenye dimba la old traford jijini manchester, Uliowakutanisha tena mahasimu hao wawili na kupeana mikono bila kuangaliana usoni.

No comments:

Post a Comment