Shirikisho la soka barani Afrika CAF Jumatano ya October 19 2016 lilipanga rasmi makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya AFCON 2017 nchini Gabon, kwa upande wa wakilishi wa ukanda wa Afrika Mashariki Uganda The Cranes wamepangwa Kundi D lenye timu za Ghana, Mali na Misri.
Michuano ya AFCON 2017 itaanza rasmi January 14 2017 na kumalizika February 5 2017 nchini Gabon, kama hufahamu wa wachezaji Vicent Bossou wa Yanga ataonekana akiichezea taifa lake la Togo sambamba na beki wa Simba Juuko Murshid anatajwa kuwa atakuwa anaichezea Uganda.
No comments:
Post a Comment