Trey Songz ndio international act atakae jumuika kwenye mash up ya pamoja na wasanii wa afrika mwaka huu,kwenye coke studio huko nairobi nchini kenya..Wasanii wa muziki kutoka TANZANIA yamoto band pamoja na joh makini watahusika kwenye mash up hiyo sambamba na mkali huyo kutoka nchini marekani.
No comments:
Post a Comment